Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Luigi Scotto,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Italia Nchini Tanzania Luigi Scotto,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana.PICHA NA IKULU,ZANZIBAR.
Heee makubwa!
ReplyDeleteHuyu Balozi wa Italia si yupo mika yote hii nafikiri zaidi ya miaka miwili sasa tokea aje nchini ndio leo anajitambulisha tena?
Au ndio yupo ktk uenezi ya kuuuza sera za Italia kwetu?
Kama ni hivyo swadakta, karibuni Waitaliana mje kuwekeza ikiwezekana kuanzia kwenye Sekta yenu kubwa upishi wa Tambi na Pizza !!!
Lakini siye Zanzibari tuna Pizza zetu za kienyeji ame!!