mwanasoka Eusebio, ambaye alikuwa mfungaji bora katika Kombe la Dunia mwaka 1966, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71 kutokana na matatizo ya moyo
Akiwa kazaliwa nchini Msumbiji mwaka 1942 wakati ilikuwa bado koloni ya Ureno, Eusebio da Silva Ferreira amechezea timu ya Taifa ya Ureno mara 64 na kuifungia mabao 41.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...