Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji (EPZA),Dkt. Adelhelm Meru, akimkabidhi zawadi maalumu mafanyakazi wa muda mrefu na mwenye umri mkumbwa wa mamlaka hiyo, Bi. Easter Mkumbwa (kulia)kwenye hafla ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 kwenye Hotel ya Land Mark hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Wageni waalikwa wakichukua chakula wakati wa hafla iliyo andaliwa na Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji (EPZA), ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 kwenye Hotel ya Land Mark hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda Maalumu wa Uwekezaji (EPZA),Dkt. Adelhelm Meru, akiwaongoza wafanyakazi na wageni waalikwa kulisakata Rhumba kwenye hafla ya kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014 kwenye Hotel ya Land Mark hivi karibuni jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...