Kamati ya Msukumo wa Harambee ya ujenzi kuadhimisha miaka 25 ya Shule ya Sekondari ya St. Mary's Mazinde Juu, Lushoto, inawaalika wanafunzi wote waliowahi kusoma hapo, wazazi na walezi wenye watoto, Mashirika na Makampuni mbalimbali katika Harambee itakayofanyika Jumamosi tarehe 8 Februari 2014 katika Ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre, Dar es Salaam kuanzia saa 4 asubuhi. Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Edward Lowassa Mb. Tafadhali wafahamishe na wengine. Karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...