Keki ya besdei ya kuzaliwa mbunifu wa mitindo maarufu wa Tanzania Ally Rhemtullah amnbayo ni spesho kwa ajili yake
Hapa Ally akipata ukodak na marafiki zake kwenye besdei hiyo, kivutio kikubwa katika birthday hii ni cake ambayo ilikuwa ya aina yake yenye mfano wa mwili wa binadamu. Hii ni kuonyesha kuwa yeye ni mwanamitindo wa nguo eeeh!! mambo mengine mwachie baba na mama.
SASA HUYO RHEMTULLAH ANANYONYA NINI HAPO? HIYO KEKI NI SANAMU YA MTU NA HAPO ALIPOWEKA MDOMO NI INJINI ROOM SASA TUMUELEWEJE SISI!
ReplyDeleteMdau sina mbavu. Umenichekesha sana! Tafadhali usirudie maana unaniumizia mbavu zangu kwa kicheko!
ReplyDelete