Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  na baadhi ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Dini waliohudhuria Kongamano la siku mbili linalohusu Rasilimali za Gesi Asilia, Mafuta na Madini kwa Amani na Maendeleo ya Tanzania linalofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. serikali yetu ni ya kinafiki, sasa hivi wameona mashehe wenye vikofia wawaalike wawape sitting allowance ili waende wakawapigie debe mtwara kwa wananchi ambao haki zao zimebinywa , serikali hii potofu kweli ,mbona kule arusha mbuga and madini wananufaika zaidi wakazi wa arusha , kwa nini gesi na mafuta yasibakie huko mtwara yakaletwa kwa malori , kuna ulazima gani wa bomba , hapa kuna namna , ndugu zangu mtwara msikubali , nachema tena chichi bachi tena njomba JK hatutaki kupewa choda za kulaghai

    ReplyDelete
  2. ahsante mdau wa kwanza kwa kuliona hilo; inahitajika mageuzi ya kweli. hatuhitaji porojo, Mheshimiwa Rais tunashukuru kwa kusaidia vijana wengi kuongezeka kuelimika kupitia mashule uliyaongeza; haya umewafanya wananchi wako waijue vizuri dunia. Ahsante kwa hilo Rais; lakini uwe na uvumilivu manake watu walioelimika sio kama wa miaka ile ya Rais wa kwanza, yani kila kitu YES SIR. Tuvumiliane nchi yetu sote tuendelee kuijenga; kama mtu hataki basi Tumuombe Yule Aliyetuumba Atufishe Sote na Atuhakikishie tunaenda peponi tu, halafu huyo asiyetaka abakie peke yake nchini humu. Ale kila kilichobakia peke yake... Kila la kheri kaka michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...