Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Frolence Turuka akisisitiza jambo wakati
akiongea na watumishi wa Ofisi hiyo katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri
Mkuu Jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Mwenyekiti wa TUGHE- Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Numpe, akieleza masuala
mbalimbali yanayowahusu watumishi wa Ofisi hiyo wakati wa Mkutano wa Watumishi
wa Ofisi hiyo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Frolence Turuka .
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli (kulia )akimpongeza
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu- Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.
Immaculata Ngwalle (kushoto) kwa kuandaa kikao cha Watumishi wa Ofisi hiyo na
Katibu Mkuu.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...