Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Msanga, Wilaya ya Kisarawe.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Msanga, Wilaya ya Kisarawe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. The mdudu,huyo hana jipya awaachie vijana uongozi mbona hawapi vijana hiyo post,,mm nimeanza kuisikia cuf toka miaka ilele lakini kwenye kitu maendeleo hawashiliki wao na mikutano tu kila kukicha upinzani wa kweli ni ushilikiano na hizo barabara mnazopita na kwenda kwenye mikutano yenu zimejegwa na nani kama sio hao mnaowasema? Acheni hizo

    ReplyDelete
  2. Annonymous #1 nafikiri unamawazo ya kihafidhina. Yeye anafuata taratibu zote za kupata uongozi ikiwa ni pamoja na kuchukua fomu, kujaza, na kugombea. Na kwa mujibu wa katiba ya CUF watu wote wanahaki sawa na yeye Maalimu Seif. Wanachama watachagua kiongozi kati ya wale wanaogombea. Na kama Maalim Seif atachaguliwa tena kuongoza, basi yeye kama Maalim Seif ataendelea kuwa kiongozi. Mfumo huo ni kwa mujibu wa sheria zilizopo ndani ya katiba ya CUF.

    Kuna nukta muhimu Maalim Seif kagusia (1) nchi yetu miaka 53 nyuma ilikuwa tajiri ukilinganisha na /singapore na Malasia, lakini kwa sasa Singapore na Malasia ni tajiri sana kuliko Tanzania hata kama Tanzania ina maliasili nyingi kushinda hizo nchi. Tutafute sababu na tuishughulikie ili tuwe sawa na nchi hizo au tuwe zaidi ya hizo nchi. Sasa Anonymous #1 sema kama hii si jambo muhimu. (2) maalim seif kagusia kutumia wataalamu wote walioko Tanzania bila kujali kama wapo kwenye taasisi/chama gani.Akatowa pendekezo la kuwa na serikali ya umoja wa kitaifa.Yani mchanganyikowa makundi yote, sasa hapa kosa liko wapi?Lengo letu nchi ipae na si vinginevyo.

    Umegusia barabara anazotumia, ni sawa unavyosema.Kwa uhalisia ni kwamba kinachotendwa ni kidogo sana (chini ya % 1) ukilinganisha na ilivyotakiwa kuwa. Ufisadi Tanzania unaanzia ngazi ya familia hadi taifani.Kwa hiyo kazi ipo.Ili tuweze kuona kama mtu huyu na yule wamefanyaje kazi Tanzania inabidi tuwape watu tofauti tofauti kuendesha nchi, hapo tutasema kwamba wewe ulipewa nchi na kiwango chako cha kazi kilikuwa kikubwa au kidogo kulinganisha na huyu hapa.

    Haya kila la kheri

    ReplyDelete
  3. hilo ndio tatiza la vyama vyetu kuanzia cuf viongozi wa juu miaka nenda nccr tlp na chadema safu ndio hizo hizo ukiwauliza wanakwambia wanaogopa mamluki kwenye safu zao

    ReplyDelete
  4. Barbara zinajengwa kwa Kofi zetu name so pesa ya watawala.

    ReplyDelete
  5. ushilikiano = hapana

    ushirikiano = ndiyo

    hawashiliki = hapana

    hawashiriki = ndiyo

    ilele = nini?

    sesophy

    ReplyDelete
  6. Singapore na Malaysia sio Zanzibar na ni tofauti na Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Hivi huyo mchambuzi wenu Lipumba hawezi kuwasaidia kwa hili?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...