Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa binti wa Mratibu wa Dua maalum ya kuiombea Zanzibar, Clare Allen Mbaga walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mratibu wa Dua Maalum ya kuiombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya wa 2014 Allen Mbaga akizungumza na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Picha ya pamoja ya Kamati maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya 2014 na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ilipomtembelea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mpinduzi ya Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).
Hivi Allen Mbaga umekuwa mchungaji tayari? Mungu akuwezeshe katika kumtumikia. Tumesoma wote Tambaza High school-1988 to 1990.
ReplyDeleteHongera sana Allen Mbaga. Mungu akuwezeshe katika mambo ya Ibada na usisahau kuwatembelea wazee wengine pia ikiwa ni pamoja na mwalimu wetu kipenzi Ndosi.
ReplyDelete