Pichani: Faria Zam muanzilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation nchini Uingereza akihojiwa na Abou Shatry wa Jamii Production Washington DC
Karibu katika ya mahojiano na Jamii Production na Faria Zam a.k.a Ferry Butcher ambae ni muanzilishi wa kusaidia watoto walemavu Zanzibar kupitia (Hilmy Disability Charity Organisation) kutoka nchini Uingereza pale alipopata fursa ya kuhojiana na Abou Shatry kuhusu maswali mbalimbali ya kusaidia watoto wa walimavu Zanzibar siku ya Ijumaa Jan 17, 2014 Washington DC.
Mahojiano haya yameandaliwa na mwanaharakati Anu Khelef kutoka Leicester nchini Uingereza
Ungana nasi kwa kusikiliza
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...