Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi (wa kwanza kushoto kwake) aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Mhongo. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...