Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alipowasili wizarani leo asubuhi na kulakiwa kwa shangwe na wafanyakazi wa wizara hiyo.
Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akipokea kadi ya pongezi kutoka kwa Kamishna wa Elimu, Profesa Eustella Bhalalusesa na katikati anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome.
Mheshimiwa Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akikaribishwa ofisini kwake na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Sifuni Mchome
Karibu sana Muheshimiwa JM hapa ndiyo ofisini kwako!
ReplyDeletenini kinaonekana hapa ?
ReplyDeletehawa wabunge wangepewa wizara yao ya siasa ,wawe wanaongoza hiyo.lakini elimu wangepewa wasomi husika,afya ,maliasili,etc
ReplyDeleteThe mdudu,jamani kumbe huko maprofesa kibao lakini Elimu ya kitanzania inashuka kila kukicha sasa nini maana ya kuwa na maprofesa ndugu zanguni huku niliko maprofesa ni watu muhimu sn na niwabunifu ajabu,,chakushangaza wakwetu hapo hata kutunga vitabu vya mashuleni kwao ni kama janga yaani mpaka nashindwa elewa,,ila kwa kunena mdomoni wakiwa washapata moja moto moja baridiii hawashikiki
ReplyDeleteIla usisahau kuwa huyo pamoja na ubunge (ndo siasa hizo) pia ni Mwl. kitaaluma!
ReplyDeletemama tuna imani utaboresha elimu ya Tanzania kama ujuavyo imeshuka sana. Jamani hii ni wizara nyeti sana sana ubunifu wa hali ya juu unatakiwa. umakini na nguvu za ziada kama za Mh Makufuli zinatakiwa hapa. everything is possible. Nina uchungu sana kuona watoto wajukukuu zetu hawapati elimu bora kama tuliyopata sisi hapa hapa na wala sio nje ya nchi na vipngozi walikuwa wa hapahapa. Elimu juu!
Deleteha ha haa
ReplyDeletenamuunga mkono mchangiaji hapo juu. elimu iboreshwe zaidi na watoto wetu nao wajitahidi walimu wapewe motisha viongozi walizungumzie wasifumbie macho hili ni tatizo ambalo litaonekana huko baadae na limeshaonekana anyway katika utendaji. lakini hatujachelewa walimu wa zamani bado wapo hata mawaziri wa zamani wapo tuombe msaada kwao namna walivyokuwa wanawezesha kiwango cha elimu kuwa juu.
Delete