Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanazania,Mh. Jaji Aloysius Mujulizi (kushoto) akimpokea Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Dkt. Asha Rose Migiro wakati alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za Tume hiyo na kukutana na Watumishi wa Tume,jijini Dar es Salaam.Anaefuata nyuma ya Mh. Migiro ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,Mh. Angela Kairubi.
 Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Asha Rose Migiro (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Tawala wa Tume Bi. Suzan Magoti.
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro akipokea Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...