Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb), Akiweka sahihi katika kitabu maalum mara baada ya kuwasili katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo, anayefuatia (kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Pereira Ame Silima (mb).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) jana jijini Dar es salaam mara baada ya kuripoti katika Ofisi yake mpya kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri alioufanya Rais Jakaya Mrisho Kikwete hivi karibuni. Kulia ni Naibu wa Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Ame Silima.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...