Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa 8 wa kanisa la kiinjili na kilutheri Tanzania KKKT la mjini Sumbawanga ambapo utafanyika uchaguzi Mkuu wa Kanisa hilo na kuzaa Dayosisi mpya ya Ukanda wa Ziwa Tanganyika. Katika hotuba yake hiyo aliwaasaviongozi na waumini wa kanisa hilo kuepukana na vitendo vya rushwa katika kuweka uongozi kanisani hapo pamoja na kuepukana na mambo maovu na machafu ikiwemo kudumisha amani ya nchi.
Home
Unlabelled
MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUCHAGUA VIONGOZI WAPYA WA KANISA LA KKKT SUMBAWANGA NA KUUNDA DAYOSISI MPYA YA ZIWA TANGANYIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ReplyDeletemwee kaa Mh./Eng Stella Manyanya kila mahali hakosekani duu anajitahidi sana jamani tuwe tuna mpongeza basi kila mara anajitahidi kutuma picha zake kwa uncle lakini hakuna hata anae mpongeza jamaniiii
Hon. Eng. Stella Manyanya yuko vizuri...mara nyingi utamwona yuko field...mara kawakamata wezi wa mafuta; mara yuko kuzindua boti - tena siku ile ametoa viatu Muheshimiwa anatembea pekua kisha huyo yuko kwenye maji ya ziwa....kuielekea boti; mara utamkuta ndani ya boti na wananchi wake; mara utakuta anawapiga stop wakandarasi wanaofanya kazi "sub-standard" (na ujue yeye ni muhandisi huyo, ooh) n.k.
ReplyDeleteKwahiyo utakuja ona Eng. yuko vizuri....hao ndio aina ya viongozi wanaotakiwa .... Mkubwa mmoja katika mojawapo ya the so called "semina elekezi" aliwahi kusikika akisema " I want to see You guys in the field out there".... of course the word "guys" stands for both sexes....lakini nadhani alitaka watendaji wake wajue kuwa anataka kuwaona wakiwa "bize" huko "field" siyo kukaa kaa tu ofisini, kula kiyoyozi, kujizungusha kwenye viti na kuita mafaili wakati hujui nini kinaendelea huko nje.
In short, Eng. anazidi kujipambanua kuwa yuko "fit" kwa field work - na huko mara nyingi ndiko unaweza kuona outputs za kiongozi katika utendaji wake...Unafanya vizuri, Hon. Eng. Stella Manyanya...keep it up!
Nadhani Kikwete na Pinda wana macho na masikio pia. Sio kila kitu wawatumie wale nusanusa tu ambao huwa "anon"kwa mara nyingi.Kwa njia hii wanaweza kupembua mchele panapo mapumba,na kutupatia viongozi na watendaji bora.....hata leoleo.Basi.
ReplyDelete