MUIGIZAJI WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA, LINALORUSHA MCHEZO WAKE KUPITIA LUNINGA YA STAR, MZEE DUDE, AMEFARIKI DUNIA, JANA SAA 12 JIONI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO, BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
TAARIFA ZAIDI JUU YA KIFO CHAKE NA MAZISHI TUTAENDELEA KUKUJUZANA HAPA HAPA JAMVINI
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN
Poleni wafiwa wote na mashabiki wa Mzee Dude.
ReplyDeleteInna Illah wainna Illah rajhuun