Kiongozi mzuri ni yule anayejitoa kwa watu wake. Mwenyekiti wa CCM kata ya Jangwani,Moody Bawazir  leo amekabidhi vifaa vya Michezo kwa Uongozi wa Timu ya Uhuru na Mzalendo ambayo inajiandaa na mashindano ya NSSF CUP,Vile vile wiki anatarajia kutekeleza Ilani ya chama chake cha CCM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwahiyo timu ya Uhuru na Mzalendo ndo wanavaa jezi Man city??? hawana chochote kwenye jezi cha kuwakilisha timu yao....!!!! nonsense
    si bora sponsor angeweka jembe na Nyundo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...