Mjukuu mkubwa wa Mzee Arnold Nkhoma, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kwa wageni waalikwa.
Wajukuu wa Birthday Boy Mzee Arnold Nkhoma wakisakata rhumba kwenye mnuso wa babu yao.
Jicake la Mzee Arnold Nkhoma la kusheherekea miaka 100 ya kuzaliwa kwake....Hongera sana Mzee Nkhoma Mungu akuzidishie 100 mingine uvunje rekodi ya dunia.
Happy Birthday to you.....How old are you now...!!!...Watoto, wajukuu na vitukuu wakimwimbia Mzee Arnold Nkhoma.
Pichani juu na chini ni watoto wa mzee Arnold Nkhoma wakimlisha cake baba yao kwa niaba ya watoto wengine.








Happy 100th Birthday Baba.
ReplyDeleteNelly Temu Williams and family
Hongereni sana familia yote
ReplyDeleteIs this the Nelly I know from London?
ReplyDeleteMsimlishe sana sasa hiyo mikeki yenu iliyojaa misukari birthday Boy
ReplyDelete