Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne S. Makinda (Mb), anasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Saidi Ramadhani Bwanamdogo Kilichotokea leo Jumatano asubuhi tarehe 22.1.2014 Katika hospitali ya MOI DSM alipokuwa amelazwa kwa Matibabu.
Ofisi inaendelea na taratibu za mazishi
kwa kushirikiana na familia ya Marehemu.
Inna llilah Waina Illaih Rajiun!
SPIKA WA BUNGE,
22.01.2014.
Inna lillah wa inna ilayhi rajiun,
ReplyDeleteAllah amweke katika kundi la waja wema
Rip Bwanamdogo
ReplyDeleteRIP BWAMDOGO
ReplyDeletePolen sana
ReplyDeleteR.I.P Bwana Mdogo.
ReplyDeleteJamaa alikuwa jina zuri " Bwanamdogo"
mungu ilaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amini
ReplyDelete