: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya KMKM Kibweni mjini Zanzibar leo Desemba 4, 2014
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali baada ya kufungua rasmi Hospitali ya KMKIM Kibweni mjini Zanzibar leo ![]() |
Askari wakakamavu wa kike wa KMKM wakiwa wamesimama kumlaki Rais Jakaya Kikwete alipowasili kufungua rasmi Hospitali ya KMKM Kibweni leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Wow a beautiful .....woman. Hiki ndio kikuubwa nilichokiona habari yoote hii.
ReplyDeleteMasha Allah sio beautiful tu, wana nuru usoni.
ReplyDeleteEwe mdau namba wan.
ReplyDeleteWasema beautiful woman, lakini hukuona kuwa kiumbe huyo ni mwanamaji, jee wajua kuogelea?
well kumbe KMKM bado ipo si niliskia imeuliwa au ndio mwisho ZNZ jamani tupeni data
ReplyDelete