Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014
 Rais Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao mwisho kwa mwili wa marehemu Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu na familia yake wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Dkt William Mgimwa viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014. 
Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa wamebeba sanduku lenye mwili wa marehemu Dkt William Mgimwa  kwenye  viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam leo january 5, 2014 tayari kwa kusafirishwa kuelekea mkoani Iringa ambako ndiko mazishi yake yatafanyika.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu Dkt. Mgimwa ameniuma sana,mtu aliyeishi maisha ya kawaida sana na mchapa kazi.Poleni sana Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,familia ya marehemu,ndugu,jamaa na marafiki."Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi...(AYUBU 14:1)

    David V

    ReplyDelete
  2. Usiwalaumu wanawake for the eventuality of death.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...