Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih
ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih
ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngao aliyopewa zawadi baada ya ku[okea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih
ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi wa Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih baada ya kupokea hati zake za utambulisho
ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014. Aliyeketi kushoto ni mkalimani.
PICHA NA IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...