Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake Bwana Walter Bgoya Picha na Freddy Maro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa


  1. Excellent idea of archiving former leader's speeches. My only concern is that these speeches are not the former President's private property unless they were delivered in that capacity. They are public property and should be regarded as such. Public resources were utilized in their preparation and delivery. The majority were derivatives of national policies which once again, were prepared with public resources. No individual should benefit from such public goods.

    ReplyDelete
  2. it is a good idea to archive leaders speeches. What I know however is that these speeches are public property unless otherwise they were prepared and delivered in private capacity. Consequently no privet individual should benefit from the proceeds. Public resources were used in tehir preparation and delivery.

    ReplyDelete
  3. SAWA VITABU NI HIVYO TUMEVIONA SASA SIJUI KAMA VIKO KATIKA LUGHA TATU AU NI MOJA? KWA WAZOZAJI WATAANZA KUNISHAMBULIA NINAPOSEMA LUGHA TATU AMBAZO NI MUHIMU SANA NCHINI KWANI ALIKUWA RAISI WA WOTE, LUGHA HIZO NI KISWAHILI, VIFUNDO (KWA WASIOONA) NA KIINGEREZA.

    ReplyDelete
  4. Vizuri, pia imeshaelezwa kwenye hilo tangazo kwamba hotuba si mali binasi ya rais. Kiko wapi kitabu cha hotuba za Nyerere, J.K?

    sesophy

    ReplyDelete
  5. Dr. Patrick NhigulaJanuary 16, 2014

    I agree. So what is missing here. I think is a Presidential Library. They need to start the Presidential Library to archive their speeches and other materials. These including gifts that they could not consume while they tenure in office. This idea will help for them to raise funds and proceeds could be donated to individuals who need help.

    ReplyDelete
  6. Folks can we for once be positive and welcome this development? The above tongue in chick appreciations notwithstanding I say; Bravo Mr President!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...