Ndugu
Max Edmund Kafipa wa Ununio Bahari Beach jijini Dar es Salaam inapenda
kutoa shukrani kwa ndugu, jamaa, marafiki wote na wakazi wa Ununio
walioshirikiana nae katika msiba hadi mazishi ya mke wake mpendwa
Sophia Uledi Kafipa (pichani) aliyefariki dunia kwa ajali ya gari tarehe
10/01/2014 na kuzikwa tarehe 13/01/2014 kwenye makaburi ya Kinondoni
jijini Dar.
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe.
Amen
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Mungu lihimidiwe.
Amen
Such a beauty!
ReplyDeleteMay U Rest in Peace.