Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Habari ya Hali ya hewa ndio hiyo!

    Kazi kwetu wananchi Mamlaka zimesha timiza jukumu, atakaye puuza Taarifa hizi huku akiwa Mkazi wa Bondeni mwenyewe atajikuta anakwenda kuanza maisha mapya Mabwe Pande!

    ReplyDelete
  2. Tusipuuze hili Angalizo.Hii hali joto kali na unyevunyevyu(Humidity) Daresalaam itaisha lini nyie mamlaka ya hewa?Ni hatari.Tsk tsk tsk tsk....

    David V

    ReplyDelete
  3. Je wakazi wa kingamboni nao kuvuka maji ya bahari itakuwaje? maana naona na wao wako kwenye hatari kubwa!

    ReplyDelete
  4. Ahsante kwa taarifa mamlaka,ngoja nijiandae kuhamisha "assets" zangu ndani ya kibanda changu pale jangwani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...