Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudentia Kabaka akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa Idara ya Habari-Maelezo tarehe 27/01/ 2014, wakati akizungumzia Tamko la Serikali juu ya Mawakala wa Ajira. Kushoto ni Bw. Ally .A.Msaki , Mkurugenzi wa Ajira –Wizara ya kazi na Ajira.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...