Mhe. Balozi Tuvako Manongi akiwagawia keki watoto wakati wa hafla ya kuukaribisha mwaka mpya 2014 iliyofanyika nyumbani kwake jiji New York usiku wa tarehe 31 na kuhudhuriwa na baadhi ya Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu jamaa na marafiki,
Balozi Manongi akifungua Champeni ili kuwamiminia maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu wakati wa hafla hiyo fupi
Balozi Manongi akigonganisha glasi na maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu
Maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu wakigonganisha glasi kutakiana heri ya mwaka mpya
Balozi Manongi na maafisa na Wafanyakazi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na familia zao, pamoja na ndugu wakifanya toast kuulaki mwaka mpya


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...