Nyumba hii ipo katika hali nzuri na kuna wapangaji wanaishi humo.
Sifa zake
> Ina vyumba vitatu vya kulala ,choo cha ndani ,stoo,jiko na Sebule kubwa
>Hati ipo nyumba ipo na vielelezo vyote nyeti vipo.
>Eneo ambalo limejengwa ni alisimia 30 ya uwanja
> uwanja una ukubwa wa Skwea mita 525
>Maji na umeme upo
> Barabara inafika hapa nyumbani
Nyumba hii inauzwa Tsh milioni 60 sasa ni TSh 55m maelewano yapo
> Nyumba ipo eneo la Mkimbizi Bima katika Manispaa ya Iringa jirani na kituo cha Yatima cha Deily Bread
sasa nitanunuaje nyumba yenye wapangaji? mkataba wao unaisha lini? ungewapa notice kwanza wahame ndio uuze nyumba. wakikataa kuondoka?
ReplyDeleteHamisha wapangaji kwanza. Kisha ndo uweke tangazo la kuuza nyumba. Siyo unauza nyumba na wapangaji wake. Unataka atakayenunua nyumba aingie kwenye mgogoro?? Kisha useme wazi kuwa hiyo m55 mtu ananunua nyumba pamoja na kiwanja chote.
ReplyDelete