Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA Mwamoyo Hamza akijichukulia maakuli wakati wa sherehe za mwaka mpya siku ya Jumatano huko VOA Washington Dc.
Heather akifurahi mbele ya kamera ya Mdau Sunday Shomari mara baada ya kujipakulia msosi.
Intern wa VOA na mmiliki wa Bongovibez Bi.Mariam akiwa kwenye mkao wa kung'aa. Fatou Kalala prodyuza akifurahia kilaji chake.
Mdau Sunday Shomari akiwa na dada Ndimyake wa VOA -TV
Kwa picha zaidi ungana na sundayshomari.com




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...