Magari makubwa yakiwa yamepaki kwenye barabara ya Mandela jijini Dar es salaam kuanzia TOT mpaka Mwananchi ambapo imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii.
Hii imekuwa kero kwa watu wengi wanaoitumia barabara ya Mandela kwani magari haya yachukua nafasi kubwa ya barabara
Pia kuna magari mengine yamepaki kwenye service roads
CHANZO: PAMOJA BLOG


golden coach...
ReplyDeleteKwakweli uwa nasikia hasira sana nikipita barabara hiyo. Sio leo wala jana hayo malori kupark barabarani. Naomba Tanroad na Traffic watoe msimamo kama kupark gari barabarani inaruhusiwa. Niabu kwa mtu mmoja kuziba public road na vyombo husika vinakaa kimyaaaaa. Kama unaweza Park barabarani ukalipia na yenyewe tujue!! Ili tuondokane double standard.
ReplyDeleteNaungana na mdau juu. Kusema ukweli hawa jamaa wamegeuza ndio parking halali ya magari yao kuingia godauni na kusababisha shida kubwa. Jamani wenye mamlaka au ni sahihi kwa hali kuendelea ?
ReplyDeleteTatizo malori ya wakubwa hayaguswi na pia wait hawapiti barabara hiyo.
ReplyDelete