Mume wa marehemu Zainabu Buzohera,Bw. Dullah akiwa katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu,Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili feb 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwaongoza Watanzania kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wetu Zainab Buzohera aliyefariki Jan 4, 2014 kwenye hosipitali ya Doctor's Community iliyopo Lanham, Maryland.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakijumuika na familia ya wafiwa kwenye kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera kilichofanyika Jumapili Feb 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland.
Watanzania wa DMV na majimbo mengine wakihudhuria kisomo cha arobaini ya marehemu Zainab Buzohera iliyofanyika Jumapili Feb 9, 2014 katika mgahawa wa Tabeer uliopo Hyattsville, Maryland maeneo ya Langley Park.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...