Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi msaada wa mabati kwa ajili ya kusaidia uwezekaji wa Jengo la Klabu ya Soka ya Timu ya Kombora iliyopo Kitope, Zanzibar.
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Kirombero Mwalimu Juma Simai akipokea msaada wa vifaa vya kupikia chai vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi kwa skuli zote za jimbo hilo. Hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa michezo wa Kombora Kitope.
Picha na Hassan Issa wa OMPR , ZNZ.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...