Meneja Mradi wa Mwanamakuka Bi.Maryam Shamo akizungumzia maandalizi ya tuzo hizo.
Mkurugenzi wa benki ya Wanawake Tanzania,Bi Margareth Chacha akizungumzia namna benki yake inavyoweza kuwasaidia Wanawake nchini,ambaye pia ni Mdau mkubwa wa Tuzo za Mwanamakuka
Home
Unlabelled
BENKI YA WANAWAKE TANZANIA YAJITOSA KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA TUZO YA MWANAMAKUKA 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...