Wanafunzi wa chuo cha taaluma ya polisi Moshi wakijaribu kuzima moto na kuokoa mali zilizokuwa zikiungua katika moja ya stoo ya kuhifadhia vitu mbalimbali zikiwemo nguo baada ya kuzuka kwa moto katika jengo hilo. Chanzo cha moto huo bado kujulikana na hakuna mtu aliyeripotiwa kudhurika na Mkuu wa Chuo hicho Kamishana Msaidizi wa Polisi Matanga Mbushi ameahidi kutoa taarifa kamili baadaye.
Askari wanafunzi wakipambana na moto kwa kila jinsi
Mapambano na moto yanaendelea.
Kwa picha zaidi na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Unahakika siyo zoezi lamajaribio (mock drill)? ikiwa ni sehemu ya mitihani.
ReplyDeleteKweli mafunzo kwa vitendo!
ReplyDeleteZimamoto kwani huku hakuna, ni ndoo tu zinazotumika?
ReplyDelete