Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa Habari nje ya ukumbi wa NEC mjini Dodoma na kuwaambia kuwa CCM bado imebaki na msimamo wake wa muundo Serikali mbili wenye maboresho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Baada ya bunge la katiba na kura ya maoni nitaurahi kuona kama kweli wananchi wa Tanzania wanachaguo lao au chaguo la viongozi ndio lao.

    Sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...