Mwanamuziki Christian Bella kwa mara ya kwanza live Oslo, ambaye ni Mwanamuziki wa mziki wa kizazi kipya Bongo Flavaz, amefanya kazi zake na wanamuziki mbali mbali ndani ya jiji la bongo na Nje ya Nchi na Sasa anaishi Sweden na anaendeleza
Kazi yake ya kimziki, kwakweri ni kijana hodari sana akiwa jukwaani. Na hivi karibuni yupo njiani kuelekea Bongo kutembelea ndugu na jamaa, pia wanamziki wenzie.
KARIBUNI SIKU YA IJUMAA TAREHE 28/02/2014
CHRISTIAN BELLA LIVE
MUSIC BONGO FLAVAZ, ZUKU, NDOMBOLO, AZONTO, NAIJA MIX, MORE DEEJAY HERO ALAIN-(STCKHLM)-KENYA & DJ PRED PRO (OSLO)-TZ
SAA-20:00-03:00 -KIINGILIO:- 150-ON DOOR, NOK BOOK-1OO NOK
CONTACT:- +47 96872483 MPILY-www.djpred.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...