Prince Charles na waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ni miongoni mwa wenyeji wa mkutano wa kimataifa mjini London, wenye lengo la kuzuia uwindaji wa wanyama waliohatarini kutoweka.
Biashara hiyo yenye kuingiza takriban dola bilioni 19 kwa mwaka, imeenea kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya pembe za ndovu nchini China.
Zuhura Yunus wa BBC Swahili amezungumza na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete kuhusu janga hilo katika kipindi cha Dira ya Dunia ya BBC TV juu ya janga hilo linaloikumba nchi hiyo mwanzo kujua wanakabiliana nalo vipi.
Mheshimiwa Rais kwanza pole na hizi heka heka za ujangili,naelewa una mambo mengi ya kufanya lakini na huu ujangili umeupa kipaumbele kuutokomeza.Jana sikuwa na uhakika vizuri na ulichozungumza.KUDOS blog ya jamii kwa kupata hii kitu.
ReplyDeleteSasa kama serikali inaufahamu huu mtandao mnashindwa nini kuudhibiti muda wote?,kwanini bado unatuchezea akili hadi leo?Madawa ya kulevya ulitueleza una orodha ya vigogo wote,hadi leo mtandao wa UNGA bado "unatesa" nchini.Blog ya jamii msibane comment yangu-Naongea na rais wangu,sina access ya kumuona ana kwa ana.
David V
Mhe. Rais kwa heshma na taadhma naomba kutofautiana nawe. Hoja ya kuteketeza pembe tunazoendelea kuzilinda na kuzitunza kwa gharama kubwa haiingii akilini. Iwapo soko bado lipo sisi kuteketeza ndovu pembe zetu ni hasara tu. Wazungu hawana budi kufunga masoko yao ili nasi tutekeketeze hazina tuliyonayo. Vinginevyo haitusaidii chochote kwa kuteketeza ama kuendelea kutunza na kisha kuteketeza bila malipo yeyote yale.
ReplyDeleteIts all well and good to have endless meetings to discuss this ndovu issues. I suggest immediate action should be taken to fight these poachers of our beautiful animals. Send in the Army in every corner of our game parks. We have a war in our midst - enemies of the nation who want to destroy one of our main national incomes - tourism. These majestic and beautiful animals are going to be extinct in a not too distant future if we dont act now. I plead with the powers above, please send in the troops - national and international ones. Lets act now before it is too late please. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteKAZI IPOO KWELI KWELI..HAKUNA KITU KIBAYA KAMA TAMAA.POLEMHESHIMIWA RAISI MPKAKA HAPOAULIPOFIKIA MUNGU AKUSAIDIE
ReplyDeleteNijuavyo wako wengi wanajua huu mtandao na ttz ni kuwa hawawezi kuwa tyr kutolea ushahidi mhkmn sababu majangili wanaweza kuteketeza yeyote atayewasaliti. Kunachomtia m2 hatiani ni ushahidi, nani yuko tayari au nu unafiq tu kukaa 2nalaumu yule
ReplyDeleteIwapo nitamuona/waona wahalifu wanao hujumu uchumi wetu, sinta sita kutoa ushahidi mahakamani. Considering the sensitivity of the case, I am confident the Tz govt will ensure anonimity is in place. However, if the wajangilis infilterate the system, then i am doomed. But it is a sacrifice i am willing to take because I love my country so. Those wajangilis cannot be Tanzanians by the way. How can they be? Hao ni wageni. They have no pride of our country so they have nothing to lose. Komesha yao hawa jamaa ni jeshi la taifa. They will sort it out in no time. Not those gamekeepers with old rifles and limited resources.
Delete