Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano kwa nchi za Jumuia ya Madola (CTO), Bw. Tim Unwin akizungumza.
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akitoa hotuba kwa Niaba ya Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye alipaswa kuwa mgeni rasmi |
Waziri wa Habari, vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara akiendelea na hotuba yake
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Umoja wa mashirika ya Posta Afrika (PAPU), Younouss Djibrine (kushoto) baada ya Waziri Mukangara kufungua kongamano la tisa la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha leo. Wengine ni Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim Unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (wapili kushoto)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akizungumza jambo na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano la Jumuia ya Madola (CTO) Tim unwin (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (katikati) baada ya Waziri Mukangara kufungua kongamano la tisa la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) mjini Arusha leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...