Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim akiwa katika mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri,Balozi Nabil Fahmy wakati alipomtembelea nyumbani kwake leo Jumamosi 22 Februari 2014.
Waziri Mkuu Mstaafu,Dkt. Salim Ahmed Salim na mgeni wake Wakiangalia picha za ukumbusho. Picha ya pili juu kushoto Dr Salim akiwakilisha credentials zake kwa Rais wa Zamani wa Misri, Gamal Abdul Nasser akiwa kama balozi wa Kwanza wa Tanzania nchini humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...