Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea shada la maua na kusalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kimataifa ya Mahindra& MahindraLtd,Bw.Ruzbeh Irani,wakati alipowasili katika Makamo Makuu ya Kiwanda kinachotengeneza Matrekta cha Mahindra & Mahindra Ltd Mumbai Nchni India
Baadhi ya watendaji katika kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd wakiwa katika mkutano uliowajumuisha watendaji wa kampuni hiyo na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ulipofika katika kiwanda hicho
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Mali Asili Affani Othman Maalim aliuliza suala wakati wa mkutano wa watendaji wa Kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd ,inayotengeneza matrekta na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ulipofika katika kiwanda hicho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika Trekta jipya kabisa ambalo bado lipo kiwandani baaba ya kukamilika uundwaji wake,alipotembelea kiwanda cha Kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd ,inayotengeneza Matrekta Mjini Mumbai Nchini India,ambacho ni maarufu sana Duniani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo kwa Meneja Mkuu wa Uzalishaji na Uuzaji (RO) Subodh Arora alipokuwa akiangalia Matrekta ya mfano katika uzalishaji katika Kampuni ya Utengenezaji Matrekta Mahindra&Mahindra Ltd alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara rasmi Mumbai Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Uzalishaji na Uuzaji (RO) Subodh Arora walipotembelea kuwa akiangalia Matrekta katika kiwanda cha Kampuni ya Mahindra&Mahindra Ltd ,inayotengeneza Matrekta Mjini Mumbai Nchini India, katika ziara rasmi Mumbai Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Mahindra & Mahindra Ltd baada ya mazungumzo mafupi alipofika kutembelea Kazi mbali mbali Kiwandani hapo jana,akiwa katika ziara ya Kiserikali Mjni Mumbai India.
Picha zote na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...