Mhariri muandamizi wa Gazeti la Financia Report lenye Makao Makuu yake London Nchini Uingereza Bwana Rohit Devan akimuarifu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi azma ya Gazeti hilo ya kutaka kuitangaza Zanzibar Kimataifa katika Nyanja ya Utamaduni, Uwezekaji na Utalii.
Mkurugenzi wa Kituo cha Matangazo ya Televisheni cha Afrika { Africa TV } Bwana Muharami Iddiss akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Cheti maalum cha Africa TV cha kuitumia ZBC – TV kurusha Vipindi vyake.
Makamu wa Pilio wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Africa TV ulioambatana na baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Dini mara baada ya mazungumzo yao yalioyofanyika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Kulia ya Balozi Seif ni Mkurugenzi wa Africa TV Bwana Muharami Idriss na Kushoto yake ni Mshauri wa Africa TV HAPA Zanzibar Bwana Kassim Haidar Jabir.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...