Mkuu wa wilaya
ya Mpanda Mhe. Paza Mwamlima (kaunda suti nyeusi juu kushoto mstari wa pili) akiwa katika kijiji cha Mwese na baadhi ya vijana wajasiriamali
wakipewa mafunzo juu ya kujikwamua kimaisha
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Mhe. Paza Mwamlima akiwa katika kijiji cha Kalema katika mwambao wa ziwa Tangayika ambako amekemea uvuvi haramu na kusimamia kuchomwa kwa nyavu na vyandarua ambavyo vimekamatwa na idara ya uvuvi vikitumika kuvulia samaki.
Picha na pasco emmanuel katona, Katavi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...