Madaktari bingwa wakifanya upasuaji kwa njia ya darubini ikiwa ni teknolojia mpya kufanyika katika Hospitali ya rufaa ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo.
Madaktari KCMC wakimfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia Teknolojia mpya Darubini.
Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi.
Zoezi linaendelea ukimya tafadhali!!! kwa mbali ni mtaalamu wa upasuaji wa Darubini (mzungu) kutoka Uingereza, Dkt. Liam Horgan.
Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
Big up Dr. Kondo! (Msellemu,M)
ReplyDeleteSafi lakini hakikisheni mna STANDBY GENERATORS za uhakika.Umeme wetu wa "TANE" si wa uhakika sana.
ReplyDeleteDavid V
Good job, more and more technology to come. Tutawafikia wenzetu tu one day.
ReplyDeleteGood Job, more and more technology to come
ReplyDeleteHongereni KCMC kwa technoligie, hapa niko na Dr kutoka Sweden ameona hiii kazi amecheka saaana na kusema kuwa hii aina ya upasuaji ilianzia nchini Sweden miaka 30 iliopita na Sweden ndio nchi ya kwanza Duniani kuanzisha mfumo huu wa upasuaji wa aina hiii
ReplyDelete