Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Ephraim Mafuru (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Meneja Masoko wa SBL, Allan Chonjo (wa pili kushoto).
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Allan Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti
Shamrashamra ya Uzinduzi wa promosheni ya Shinda safari kwenda nchini Brazil
Baadhi ya mabalozi wa Bia ya Serengeti wakionesha shoo kwa wananchi baada ya uzinduzi wa Shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti
Uzinduzi wa promosheni ya shinda safari kwenda nchini Brazil,kupitia bia ya Serengeti uliofanyika leo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...