Baadhi
ya wanamitindo wakionyesha umahili wao wakati wa uzinduzi wa bidhaa za
TreSSa uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Msanii
wa nyimbo za kizazi kipya, Elias Barnabas akiimba huku akipiga gitaa
wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa.Uziduzi ulifanyika katika Hoteli
ya Serena Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
wa Bendi ya Machozi, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’(kushoto) akiimba
sambamba na waimbaji wake wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa
uliofanyika katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...