Matukio mbalimbali katika ziara ya siku moja ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome mkoani Mwanza. Na hotuba yake katika ufunguzi wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome katika maabara ya TEHAMA katika shule ya sekondari Pamba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na Watumishi wa Chuo cha Ualimu Butimba mkoani Mwanza.
Baadhi ya Wawezeshaji na Washiriki wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na mmoja wa wanafunzi katika shule ya sekondari Nganza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akifungua Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo hayo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na mmoja wa wanafunzi katika shule ya sekondari Nganza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...