Home
Unlabelled
kauli ya dkt slaa baada ya JK kuhutubia baraza la vya siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sidhani kama ni kweli, wananchi wanalishatoa maoni yao ndio maana ya kuwa na rasim kabda ya katiba yenyewe. Wewe wakilisha wananchi wako waliotoa maoni yao mule. Hii nayo ndio sababu ya kuzolotesha mawazo yaliyozungumzwa na Rais. Fanya kazi kama umechaguliwa pale.
ReplyDeleteDr Slaa, ninakuheshimu sana, na najua una viwango vya juu vya kuelewa, na kueleza pia.
ReplyDeleteSisi tulokuwa nje ya hilo jengo pia tumemsikiliza Mhe. Rais, na tunajiuliza mbona lazima umlaumu tuuu?
Kumbe wewe unataka Rais atunge Katiba, na wala siyo Bunge la Katiba? Sawa, wananchi bado tutapiga kura, na ndiyo umiliki wetu wa hiyo Katiba. Taabu yako wewe Mheshimiwa wangu Dr. Slaa ni kwamba unaongozwa na ile falsafa ya Mao Tse Tung: Oppose what your 'enemy' supports, and support what your 'enemy' opposses. Kwa taarifa yako, JK wala siyo adui yako, ni Rais wako.