LEO tarehe 18 February tunafikisha mwaka tangu Mama yetu Esther Mollel ulipoitwa na muumba wetu. Ni vigumu kuamini kama haupo nasi hapa duniani kwani bado tunakukumbuka kwa uongozi wako bora na upendo katika familia. Mme wako Palle Nielsen, familia yako, ndugu, jamaa na majirani zako wote wanazidi kukukumbuka kukuombea upumzike mahali pema huko peponi, Amina.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE LIHIDIMIWE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...