Maandalizi ya Kongamano la siku tatu la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,linalotarajiwa kufunguliwa kesho na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal,katika Hoteli ya Malaika jijini Mwanza,yanaendelea vyema kama ilivyopangwa.Kongamano hilo ambalo ni la Nne kufanyika Kitaifa,linaloratibiwa na Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) litawakutanisha wawekezaji mbali mbali ambao watajadiliana maswala mbali mbali yahusuyo Uwekezaji katika sekta mbali mbali hapa nchini.
Sehemu ya Mahema yatakayotumiwa na wawekezaji mbali mbali kuonyesha bidhaa zao wakati Kongamano hilo likiendelea.
Huu ndio Ukumbi utakaotumika katika Kongamano hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...