
40 East Sidney Avenue,
Apt # 10C , Mount Vernon,
NY 10550.
Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456.
Bado harambe ya kutafuta dolla 10,000 za kufanikisha mipango ya mazishi inaendelea. Tunawaomba mtafute walau muda mchache mweze kujumuika na Watanzania wenzetu walioondokewa na mama yao, ndugu yao na mpendwa wetu sote. Kwa taarifa zaidi, tafadhali soma maelezo hapo chini na mtaletewa taarifa zaidi kwa kadiri tutakapozipata.
Familia ya Nestor Mwombeki Rweyemamu ya Mt. Vernon New York inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Theonestina Rweyemamu kilichotokea Feb 1st 2014. Valhalla New York.
Marehemu ni mama yake Doris, Emmanuel , Steven and Diana Rweyemamu. Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika kumpeleka mama yetu nyumbani Bukoba Tanzania. Tunahitaji kukusanya kiasi cha 10000 us dollars katika mipango ya mazishi.
Familia itashukuru msaada wowote wa kuwasaidia kuweza kufanikisha mpango wa kumsafirisha mama yetu kwa kutoa chochote kwenye
Bank of America ,
account number 483044166145
routing number 021000322
na jina kwenye account ni Doris Rweyemamu.
Mtakaoweza kufika kwenye Msiba address ni: 40 East Sidney Avenue, Apt # 10C , Mount Vernon, NY 10550. Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456.
Kwa maelezo zaid unaweza piga simu:
Emmanuel Rweyemamu 6462342418, Steven Rweyemamu 3028837971, Dr. Abbas Byabusha 9145847502, Doris Rweyemamu 6463799135.
Bwana ametoa na Bwana ametwa. Amen.
Deogratius Mhella
The Executive Secretary
New York Tanzanian Community
c/o Tanzania Mission to the UN
307 East 53rd Street, 4th Floor
New York, NY 10022
Tel: 201-252-7220
Email: info@nytanzaniancommunity.org
Email: info@nytanzaniancommunity.org
Website: http://www. nytanzaniancommunity.org/
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...